Posts

video_somo linaendelea_ UAMINIFU _MCH. Jovini Shilingi

Image

kama si siku za mwisho sijui nini hiki ?

Image

Mungu anaweza @EV. ELIYA kutoka fpct manzese leo 03/05/2020

Image

Simba waanza safari ya kwenda kenya kwa mashindano ya sportpesa.

Image
Msafara wa wachezaji 18 na viongozi 10, sita wakiwa wa benchi la ufundi wameondoka leo kuelekea Nakuru Kenya kushiriki mashindano ya SportPesa Super Cup.   Imeelezwa baadhi ya wachezaji waliokosekana kwenye orodha iliyotolewa awali wataungana na wenzao huko Kenya. Wachezaji hao ni pamoja na nahodha John Bocco, Emanuel Okwi na Juuko Murshid

Namna Ya kumsifu Mungu Katika hali ya kuondoa nadhifu wako.

Image

Namna Ya kumsifu Mungu Katika hali ya kuondoa nadhifu wako.

Image