Simba waanza safari ya kwenda kenya kwa mashindano ya sportpesa.

Msafara wa wachezaji 18 na viongozi 10, sita wakiwa wa benchi la ufundi wameondoka leo kuelekea Nakuru Kenya kushiriki mashindano ya SportPesa Super Cup.

 
Imeelezwa baadhi ya wachezaji waliokosekana kwenye orodha iliyotolewa awali wataungana na wenzao huko Kenya.

Wachezaji hao ni pamoja na nahodha John Bocco, Emanuel Okwi na Juuko Murshid

Comments

Popular posts from this blog

maombi na aina zake.

KUOKOLEWA KWA NEEMA