LWANDAMINA VS OMOG

Makocha George Lwandamina wa Yanga na Joseph Omog wa Simba, wanakutana kwa mara ya nne kwenye mashindano tofauti, lakini mwenye hasira zaidi ni Lwandamiba kutoka Zambia kwani mchezo wa Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara msimu uliopita uliochezwa Februari 25 mwaka huu alichapwa 2-1, huku Nusu fainali ya kombe la Mapinduzi 2017 na Ngao ya Jamii 2017 akipoteza kwa mikwaju ya penati dhidi ya Omog raia wa Cameroon,  baada ya kutoka suluhu ndani ya dakika 90'.

Safari hii kuelekea 'Dabi ya Kariakoo' mzani umebalansi, timu zote zinaingia dimbani zikitoka kupiga 4G.

Ni Lwandamina au Omog? Azam Sports 2 itakupa majibu sebuleni kwako Jumamosi saa 10:00 jioni.

Lipia 'fasta' king'amuzi chako, kusimuliwa nako kwataka moyo!

#SisiNiSoka⚽


Comments

Popular posts from this blog

maombi na aina zake.

KUOKOLEWA KWA NEEMA