VIWANGO VYA FIFA VIMETOKA TANZANIA YA SHUKA NAFSI 11
VIWANGO VYA FIFA MWEZI: Tanzania yaporomoka kwa nafasi 11 kutoka nafasi ya 125 hadi ya 136 mwezi huu katika viwango vya soka duniani katika ya mataifa 211 wanachama wa FIFA.
Katika viwango hivyo vilivyotolewa leo,Jumatatu na FIFA, Kenya nayo imeshuka kwa nafasi 14 hadi nafasi ya 102, Burundi ikibaki katika nafasi yake ya 129, Rwanda imeendelea kubaki nafasi ya 118, wakati Uganda likiwa ndilo taifa pekee la Afrika Mashariki lililopanda, likitoka nafasi ya 71 hadi ya 70 na kuwa miongoni mwa mataifa 10 bora barani Afrika.

Comments
Post a Comment