Real Madrid wakubali kichapo .

POINT NANE: Baada ya kichapo cha leo cha 2-1 kutoka kwa Girona, Real Madrid ikiwa na mchezaji bora wa dunia, Cristiano Ronaldo, imezidiwa point 8 na mahasimu wao katika #LaLiga FC Barcelona.

Barcelona ndiyo vinara katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa na point 28 wakati Real Madrid inakamata nafasi ya tatu ikiwa na point 20. Timu zote zimecheza mechi 10 kati ya mechi 38 za msimu mzima.

Je, kwa mwenendo huu, unaona nini mbele kwa mabingwa hawa watetezi?

Comments

Popular posts from this blog

maombi na aina zake.

KUOKOLEWA KWA NEEMA