Udiwani kata 43 waanza kupasua vichwa vyama vya siasa nchini.
Katika soka huwa kuna dirisha dogo la usajili ambalo linapofunguliwa, timu huchuana kusaka wachezaji. Hivyo ndivyo ilivyo kwa vyama vya siasa ambavyo vinajiweka sawa kuchuana kuwania kata 43 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa utafanyika Novemba 26.

Comments

Popular posts from this blog

maombi na aina zake.

KUOKOLEWA KWA NEEMA