Posho za wafanyakazi wa serikali mtwara za futwa

MTWARA: Serikali imewafutia posho watendaji wa TANESCO. Zitatumika kununua mashine itakayowezesha upatikanaji wa umeme kwa Wananchi.

- Waziri Kalemani amesema, “Tutakapopungukiwa tutaomba taasisi nyingine lakini awali ya yote nimeamua posho za wafanyakazi, semina na mimi mwenyewe zitakwenda kwenye mashine tusipate shaka kupata fedha ya kununua mashine."

Comments

Popular posts from this blog

maombi na aina zake.

KUOKOLEWA KWA NEEMA