Picha za kwanza za Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ikimuonyesha akitabasamu.
TUNDU LISSU: Picha za kwanza za Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ikimuonyesha akitabasamu na kupungia mkono akiwa hospitalini Nairobi Kenya. Ni picha za kwanza zinavyomuonesha mwanasheria huyo tangu kupigwa risasi mjini Dodoma mwezi uliopita . Rais wa chama hicho cha upinzani , Freeman Mbowe amesema Tundu Lissu anatarjiwa kutoka hospitali wiki ijayo, lakini kwa kuhofia usalama wake hawatamrudisha Tanzania .
Picha kwa hisani ya CHADEMA.



Comments
Post a Comment