Tarehe ya leo ni tarehe ya gwiji wa nyimbo za legge aliofariki.

Leo tarehe 18/10/2017 inatimia miaka 10 tangu gwiji wa muziki wa regge Afrika na Duniani, Lucky Dube kufariki dunia kwa kupigwa risasi.

Nyimbo yake ipi mpaka leo bado unaikumbuka?


Comments

Popular posts from this blog

maombi na aina zake.

KUOKOLEWA KWA NEEMA