NAMSHUKURU MUNGU KWA KIBALI ALICHOTUPA SIKU YA LEO.

Napenda ndugu yangu tulikiane neno moja katika kitabu cha WAEBRANIA ile sura 11 na msitali wa kuanzia wa kwanza mpaka wa 16. Napenda kwa siku ya Leo tu ya jumapili usome maneno hayo ya Mungu naamini utapiga hatua katka kila jambo utakaloanza nalo jumatatu.

   
Ebrania 11:1-16

Waebrania 11:1-3Neno: Bibilia Takatifu 

Imani

11 Basi, imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni uhakika wa mambo tusiyoyaona. Maana ni kwa imani wazee wa kale walipata kibali cha Mungu.
Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vinavyoonekana vilitengenezwa kutokana na vitu visiv yooana.

 Kwa imani Enoko+alihamishwa ili asione kifo, naye hakupatikana popote kwa sababu Mungu alikuwa amemhamisha;+kwa maana kabla ya kuhamishwa kwake alikuwa ametolewa ushahidi kwamba amempendeza Mungu vema.+  Zaidi ya hayo, bila imani+ haiwezekani kamwe kumpendeza vema,+ kwa maana yule anayemkaribia Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko+ na kwamba yeye huwa mthawabishaji+ wa wale wanaomtafuta kwa bidii.+ Kwa imani Noa,+ baada ya kupewa onyo la kimungu la mambo ambayo yalikuwa bado hayajaonekana,+ alionyesha woga wa kimungu na kujenga safina+kwa ajili ya kuiokoa nyumba yake; na kupitia imani hiyo aliuhukumu ulimwengu+ kuwa wenye hatia, naye akawa mrithi wa uadilifu+unaolingana na imani. Kwa imani Abrahamu,+alipoitwa, alitii kwa kutoka akaenda na kuingia mahali alipokusudiwa kupokea kuwa urithi; naye akatoka, ijapokuwa hakujua mahali alipokuwa akienda.+  Kwa imani alikaa kama mgeni katika nchi ya ahadi kama katika nchi ya ugenini,+akakaa katika mahema+ pamoja na Isaka+ na Yakobo,+ warithi pamoja naye wa ahadi ileile.+ 10  Kwa maana alikuwa akingojea jiji+ lililo na misingi ya kweli, ambalo mjenzi na mtengenezaji wa jiji hilo ni Mungu.+11  Kwa imani Sara+mwenyewe pia alipokea nguvu ili kuchukua mimba ya uzao, hata alipokuwa amepita mpaka wa umri,+ kwa kuwa alimwona kuwa mwaminifu yeye aliyekuwa ameahidi.+ 12  Kwa sababu hiyo pia kutoka kwa mwanamume mmoja,+ naye akiwa kana kwamba ni mfu,+ kulizaliwa watoto kama vile nyota za mbinguni kwa wingi na kama mchanga ulio kando ya bahari, usiohesabika.+13  Katika imani hawa wote walikufa,+ ijapokuwa hawakupata utimizo wa zile ahadi,+ bali waliziona kwa mbali+ na kuzikaribisha na kutangaza hadharani kwamba wao ni wageni na wakaaji wa muda katika nchi.+ 14  Kwa maana wale wanaosema mambo ya namna hiyo hutoa uthibitisho wa kwamba wanatafuta kwa bidii mahali pao wenyewe.+ 15  Na bado, kama kwa kweli wangeendelea kukumbuka mahali pale walipokuwa wametoka,+wangepata nafasi ya kurudi.+ 16  Lakini sasa wanajitahidi kufikia mahali palipo bora, yaani, panapohusiana na mbinguni.+Kwa hiyo Mungu haoni aibu juu yao, kuitwa akiwa Mungu wao,+kwa maana ametayarisha jiji+kwa ajili yao.
@Mungu akubariki kwa kusoma somo hili mtayarishaji wenu ni @;
Mr. Aman Chombe


Comments

Popular posts from this blog

maombi na aina zake.

KUOKOLEWA KWA NEEMA